Top Stories

VIDEO: ‘Mtakufa njaa kisa Corona’- RC Paul Makonda

on

NI Headlines za mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambae time hii amezungumza kuhusu wafanyabiashara waliofunga maduka kisa janga la Corona Virus.

“Tokeni kafanyeni kazi, eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona?, kuna Mtu kwenu anaumwa corona?, hiyo idadi imetoka wapi?” – Paul Makonda RC DSM

Soma na hizi

Tupia Comments