Habari za Mastaa

VIDEO: Mtangazaji wa Citizen TV Kenya kazungumza changamoto ya kutangaza na mumewe

on

Lulu Hassan ni mtangazaji wa habari nchini Kenya kupitia Citizen TV ambaye ameolewa na mtangazaji mwenzie Rashid Abdalla na wawili hawa wamezidi kupata umaarufu zaidi baada ya kuanza kutangaza kipindi kimoja cha habari.

AyoTV na millardayo.com zilimpata Lulu na kuzungumza naye kuhusu kazi yake na kama kuna changamoto anaipitia kwenye kazi wakati akitangaza na mumewe.

Bonyeza Play hapa chini kutazama alichozungumza Lulu Hassan 

Soma na hizi

Tupia Comments