AyoTV

VIDEO: Mtendaji Mkuu wa TFF atinga TAKUKURU kuhojiwa

on

Leo June 19 2020 Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wilfred Kidao amewasili kuhojiwa katika ofisi za  Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa  TAKUKURU, Kidao inadaiwa kuwa ameitwa kwa ajili yeye ni kama sehemu ya mashahidi wanaotakiwa kutoa maelezo yao kuhusiana na Tsh Bilioni 1 iliyotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya AFCON U-17 ilitumikaje licha ya kuwa ahikupita katika account ya TFF.

VIDEO: RAIS TFF ABANWA BILIONI 1 YA RAIS MAGUFULI, AMTAJA MWAKYEMBE

Soma na hizi

Tupia Comments