AyoTV

VIDEO: Muhitimu wa Chuo Kikuu aliyebuni mashine ya kuparua na kusafisha samaki kwa sekunde 5

on

Kijana David Philip Ng’unda ni kijana wa kitanzania aliyehitimu shahada yake ya uhandisi katika chuo kikuu cha St Joseph, David kwa kushirikiana na wanafunzi wenzake walifanikiwa kubuni mashine ya kuparua magamba ya samaki na kusafisha ndani ya sekunde 5, bonyeza PLAY kutazama na kuona mashine yenyewe jinsi inavyofanya kazi.

VIDEO:PAMBANO LA ROUND 10: MWAKINYO VS TINAMPAY

Soma na hizi

Tupia Comments