Habari za Mastaa

VIDEO: Mwili wa Mchungaji Mitimingi ndani ya kanisa lake kwa mara ya mwisho

on

Baada ya kuwasili mwili wa aliyekuwa mchungaji wa Kanisa la WCC Peter Mitimingi katika kanisa lake wakati wa Ibada ya mazishi iliyofanyika leo May 6, 2020 uliingizwa ndani ya kanisa lake kwa mara ya mwisho na kufanyiwa ibada fupi na watumishi wa Mungu. 

Bonyeza PLAY kutazama ilivyokuwa

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments