Habari za Mastaa

VIDEO: Mwili wa mchungaji Mitimingi ukipelekwa kaburini kwa mazishi

on

Baada ya ibada ya kuaga mwili wa Marehemu mchungaji Peter Mitimingi iliyofanyika leo May 6, 2020 kanisani kwake, mwili wake ulichukuliwa na kupelekwa mahali palipokuwa pametengwa kwaajili ya maziko.

Tazama kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments