Michezo

VIDEO: Mzee Ally Samatta akieleza kwa furaha baada ya mwanae kuwafunga Man City

on

NI Headlines za Mzee Ally Samatta ambae amefanya mahojiano na mtangazaji wa BBC Swahili Salim Kikeke kuelezea furaha aliyokuwa baada ya Mbwana Samatta kufunga goli la kichwa kwenye mchezo wa Aston Villa dhidi ya Man City uliocheza Jumapili iliyopita huko London.

Soma na hizi

Tupia Comments