Habari za Mastaa

VIDEO: “Najitegema, sijapangiwa nyumba” Msanii wa Alikiba

on

Mwimbaji Tommy Flavour ambaye yupo kwenye record label ya king’s music inayoongozwa na Alikiba amefunguka kuhusu yeye kujitegemea na kueleza kwamba haishi kwenye nyumba aliyopewa na Alikiba na Pia hafikirii kuhama lebo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama akifunguka

VIDEO: Esha Buheti hataki mchezo, kavuta gari jipya na kufunga haya

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments