AyoTV

Video: Nedy music kafunguka kuhusu Ommy Dimpoz ‘Hakuwa mshikaji ‘

on

NI Headlines za msanii wa Bongo Fleva, Nedy Music ambae aliwahi kuwa chini ya lebo ya Ommy Dimpoz iitwayo PKP miaka kadhaa iliyopita, sasa staa huyo amekaa kwenye Ayo TV na kuzungumzia ukaribu na Ommy Dimpoz 

 

ULIIKOSA HII YA MREMBO NICOLE ALIEWAHI KUTOKA NA MCHEZAJI WA CHELSEA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments