AyoTV

VIDEO: Niyonzima kawasili Dar, kauli yake kuhusu game ya Simba na Yanga

on

Kiungo wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima leo amerejea rasmi Tanzania kwa ajili ya kuungana na Yanga ambayo amerudi tena kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, Haruna amerejea leo Airport Dar es Salaam na kusema amekuja kwa ajili ya Yanga na sio vinginevyo.

Kuhusu game ya January 4 2020 ya Simba na Yanga, Haruna amesema timu zote anazijua kwa hiyo hawezi kupata shida kucheza mchezo huo, hii ni mara ya pili kwa Haruna kusajiliwa Yanga badala ya mara ya kwanza kusajiliwa 2011.

VIDEO: MASHABIKI WA YANGA WAMJIBU MZEE KIKWETE

Soma na hizi

Tupia Comments