NI Mwendelezo wa stori inayohusu Mmfayakazi wa Mgodi wa GGML Mwanamke Mmoja ajulikanaye kwa jina la Milembe Seleman (43) Mfanyakazi wa Mgodi wa Geita Gold Mining (GGML) Kitengo cha Ugavi Mkazi wa Mseto Wilaya na Mkoa wa Geita alieuawa kwa kukatwa sehemu mbalimbali za mwili wake na Watu wasiojulikana.
Sasa leo April 27, 2023 Ayo TV & Millardayo.com inakuletea kuhusu walichozungumza majirani pamoja na Ujenzi wa nyumba aliyoiacha huko Mkoani Geita.