Michezo

VIDEO: Ofisi mpya za Simba SC

on

Club ya Simba SC leo imetangaza rasmi ofisi za club hiyo ambayo imetoka katika mfumo wa kuendeshwa kawaida na kwenda katika mfumo wa hisa, hizi ndio ofisi mpya na zile za zamani zitatengenezwa makumbusho.

AUDIO: BREAKING: NIYONZIMA KARUDI YANGA SC

Soma na hizi

Tupia Comments