AyoTV

VIDEO: Pambano la Round 10, Mtanzania vs Mthailand ni Ubingwa wa Dunia

on

Bondia mtanzania Salim Mtango amefanikiwa kushinda mkanda wa Ubingwa wa Dunia (UBO) uzito wa lightweight baada ya kumpiga bondia kutoka Thailand Suriya Tatakhun round ya 7 kwa Technical Knock Out (TKO) katika pambano la round 10 lililochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Mtango anakuwa bondia wa kwanza wa Tanzania kuwahi kumpiga Suriya baada ya wanne wa mwanzo wote kupoteza dhidi ya Bondia huyo, hivyo Mtango ni sawa na kulipa kisasi cha watanzania wenzake waliowahi kupigwa na Suriya.

VIDEO: ZAWADI YA RC TANGA KWA BINGWA WA DUNIA SALIM MTANGO

Soma na hizi

Tupia Comments