AyoTV

VIDEO: Pierre kasimulia maisha yake ya ufundi kabla hajajulikana “Nilikuwa nalipwa 700”

on

Piere  amesimulia alivyokuwa akilipwa shilingi mia saba (700) enzi hizo alipoanza kazi ya kutengeneza viti, meza na vitanda vya mbao ambapo ni miaka zaidi ya ishirini (20) mpaka sasa toka aanze kuifanya kazi hiyo maeneo ya Keko Temeke Dar es Salaam.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alivyokuwa akisimulia Pierre.

CHRISTIAN BELLA BAADA YA KUTOKA MAREKANI KUKIWASHA TABATA, NGOMA MPYA NA ALIKIBA

Soma na hizi

Tupia Comments