Habari za Mastaa

VIDEO: Q Chila alivyotunzwa mihela na TID, amuonya asimwite Harmonize ‘Chawa’

on

Wakati wa shughuli ya Shilole ikiendelea alimualika Qchila kuimba naye huku akimshukuru kuwa ndiye msanii aliyemtoa kimuziki, sasa wakati wa tukio hilo TID hakuwa mbali ndipo Shilole akatumia njia nzuri za kuwakutanisha na kutaka wamalize tofauti zao walizokuwa nazo awali.

Bonyeza PLAY hapa chini kuona ilivyokuwa.

Soma na hizi

Tupia Comments