Serikali Mkoani Geita Imeunda Tume ya Kuchunguza Kifo cha Kijana Enos Msalaba [34] Mkazi wa Kijiji cha Mganza wilayani Chato Mkoani Geita Pamoja na Tukio la Wananchi Kuchoma Kituo cha Polisi cha Mganza na Kusema Serikali itakapo wabaini watu hao itawaafikisha kaika Vyombo via Sheria .
Akizungumza hayo katika Uzinduzi wa Upandaji Miti Kimkoa iliyofanyika katika wilayani Mbogwe Mkoani Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Martine Shigella amesema watu wanne walijeruhiwa katika Shambulio la Kujihami na Maaskari huku Moja wao akiwa yupo katika Chumba cha Maalumu cha Mahututi[ICU].