Michezo

Video: Real Madrid walivyofungwa na Celta Vigo na kukosa ubingwa wa La Liga

on

charles-celta-vigoMakosa ya wachezaji Xabi Alonso na Sergio Ramos yalisababisha klabu ya Real Madrid jana usiku kupoteza kabisa matumaini ya kutwaa ubingwa wa La Liga – baada ya kufungwa 2-0 na kikosi cha Celta Vigo kinachofundishwa na Luis Enrique ambaye ni mchezaji wa zamani wa FC Barcelona

Angalia video ya mchezo huo hapa……

Celta de Vigo 2-0 Real Madrid All Goals… by All_Goals

Tupia Comments