Mix

VIDEO: Reekado Banks katuletea hii version nyingine ya wimbo wake ‘Rora’

on

NI Headlines za msanii wa Nigeria, Reekado Banks ambae ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuachia hit single iitwayo Rora, sasa leo ameichia version ya pili ‘Rora’

Unaweza unabonyeza play kuitazama na kuisikiliza

 

Soma na hizi

Tupia Comments