Leo tunae nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayekipiga katika club ya Aston Villa ya England Mbwana Samatta lakini kwa sasa Ligi Kuu mbalimbali duniani zimesimama ikiwemo EPL na vilabu husika kikiwemo Aston Villa vimewataka wachezaji wao kukaa ndani ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona.
Samatta akiwa na mechi chache toka ajiungena Aston Villa katika dirisha la January akitokea KRC Genk ya Ubelgiji, ameongea maisha yake ya sasa yalivyo England wakati huu watu mbalimbali wakiwa kwenye lock down nchini humo maisha yake yakoje Birmgham pale England baada ya lock down.
VIDEO: EXCLUSIVE: NI KWELI GSM WANATAKA KUINUNUA YANGA SC? WATOA MAJIBU