Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayekipiga katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta, baada ya kufunga goli katika mchezo wa UEFA Champions League kati ya Genk dhidi ya Liverpool amekuwa gumzo mtandaoni.
Samatta baada ya kufunga goli Genk ikipoteza 2-1 dhidi ya Liverpool, waandishi wakubwa wa michezo England kama Ian Dennis aliandika kuwa Samatta ameanza kuwaniwa na club za West Ham United na Newcastle United, leo baada ya kuwasili Tanzania waandishi walitaka kufahamu kuhusiana na hilo.
”
VIDEO: DR LEAKY AKIMUELEZA SAMATTA SABABU ZA WAINGEREZA KUPENDA GOLI LAKE VS LIVERPOOL