AyoTV

VIDEO: Samatta kwa nini haonekani akivutika kubadilishana jezi na mastaa? katoa jibu

on

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta achilia mbali kuingia kwenye headlines hivi karibuni kwa kuwafunga Liverpool katika mchezo wa UEFA Champions League, ila kuna kitu ambacho amekuwa hakionekana kama hapendi kukifanya hivi.

Samatta licha ya kupata nafasi ya kucheza dhidi ya mastaa wakubwa kama Mohamed Salah, Sadio Mane, Fabinho na Wayne Rooney kwa nyakati tofauti lakini amekuwa akionekana kama hapendi utamaduni wa kubadilishana jezi na wachezaji ambao anachezaji dhidi yake, tofauti na baadhi ya mastaa wa soka Ulaya ambao huwa wanapenda kubadilisha jezi pale inapotokea wanakutaka katika mechi kubwa.

So Kwenye Amplifaya tunae Mbwana Samatta kwa nini kwa upande wake huwa hapendi au haonekani akibadilishana jezi na wachezaji wa timu pinzani.

VIDEO: KUTOKA ENGLAND BONGOZOZO KAIFUATA TAIFA STARS VS EQUATORIAL GUINEA

Soma na hizi

Tupia Comments