Top Stories

VIDEO: Sanitizer ni Lazima, ukikataa tunakukamata’- RC Makonda

on

Ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda  April 16, 2020 baada ya kupokea mashine maalum za kujikinga na Corona alizokabidhiwa na Mfanyabiashara Rostam sasa akazungumza hili la abiria wanaopanda usafiri wa Daladala na kukataa kutumia Sanitizer.

 

ROSTAM AKABIDHI MASHINE ZA KISASA DAR ES SALAAM KUJILINDA NA CORONA

Soma na hizi

Tupia Comments