AyoTV

VIDEO: Sarah wa Harmonize na Nicole wavaana “Nitakung’oa pua sanamu wewe”

on

Mke wa Harmonize anayejulikana kwa jina la Sarah inaonekana kama hakupendezwa na uamuzi wa mumewe kuongea instagram Live na video vixen wa ngoma ya Bed Room Nicole kiasi cha Sarah kuwa anacomment maneno ambayo yalimkwanza Nicole na baadae kumpost Sarah kwa hasira na kumpiga mkwara.

AUDIO: WOLPER AMWAMBIA HARMONIZE “SITEMBEI NA WATOTO NATEMBEA NA MTU MZIMA”

Soma na hizi

Tupia Comments