Habari za Mastaa

VIDEO: Shabiki aliyemchora tattoo Wema ampatia na zawadi mbele ya wandishi

on

Wakati Wema Sepetu akizungumza na waandishi wa habari siku ya May 5, 2020 alijitokeza shabiki yake anayefahamika kwa jina la Papaa Mafido ambaye alimvulia shati na kumuonesha tattoo ya Wema aliyochora mgongoni kisha kumpatia zawadi staa huyo.

Bonyeza PLAY kutazama Ilivyokuwa.

 

Soma na hizi

Tupia Comments