AyoTV

VIDEO: Shabiki mwenye tambo zake “Kihalali Jirani hatoboi”

on

Utani wa Simba na Yanga umeendelea kushika kasi hata kama mechi ikichezwa ikiwa inahusisha moja kati ya hizo na timu nyingine, basi jua ushindi wa moja kati ya Simba na Yanga utawakosesha raha mashabiki wa Simba/Yanga, baada ya ushindi wa Yanga wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting kulijitokeza shabiki wa Yanga aliyekuja na bango la utani unaoaminika unailenga Simba “Kihalali Jirani hatoboi”

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments