Habari za Mastaa

VIDEO: Shetta kaeleza Biashara yake ya chips na mjengo aliojenga

on

Mwimbaji Shetta ametupa habari nyingine kuhusu shughuli nyingine anazo zifananya na kumuingizia mapato tofauti na muziki ambapo amesema yeye anauza chips mtaani anapoishi na hivi soon atatukaribisha kwenye mjengo aliojenga kupitia shughuli zake hizo. 

Bonyeza Play hapa kumsikiliza Shetta akifunguka zaidi.

Davido kathibitisha mpenzi wake kakutwa na Corona

 

Soma na hizi

Tupia Comments