Habari za Mastaa

VIDEO: ‘Sipendi kupangiwa maisha’ Lulu kamjibu shabiki

on

NI Mwigizaji kutokea kwenye kiwanda cha filamu Tanzania, Elizabeth Michael a.k.a Lulu Michael ambae time hii ameamua kumjibu shabiki baada ya kumuuliza swali kuhusu mahusiano yake.

Tupia Comments