AyoTV

VIDEO: Speshoz na Naibu Waziri Mavunde alipokutana na Designers

on

Alhamisi ya December 19 2019 wafanyabiashara ya ushonjai nguo Tanzania hususani wa jiji la Dar es Salaam walikutana kwa pamoja na kujumuika na wanamitindo mbalimbali na kujadiliana kuhusiana na tasnia hiyo.

Shughuli hiyo iliyobebwa kwa jina la Cherehani Gala iliyoandaliwa na kampuni ya Speshoz ilihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo naibu waziri wa ofisi ya waziri mkuu, vijana na ajira Anthony Mavunde ambaye alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo, bonyeza PLAY kutazama shughuli yenyewe, waandaaji pamoja na naibu waziri alichozungumza.

AUDIO: BREAKING: NIYONZIMA KARUDI YANGA SC

Soma na hizi

Tupia Comments