Michezo

VIDEO: Tathmini ya Masau Bwire baada ya kuona game ya Simba na Yanga

on

Msemaji wa club ya Ruvu Shooting Masau Bwire alikuwa sehemu ya watanzania waliohudhuria uwanja wa Taifa kutazama mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga January 4 2020, mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya kufungana magoli 2-2, Masau Bwire ametoa tathmini yake baada ya kuona game hiyo.

“Watanzania wengi waliwapa asilimia kubwa Simba kwamba lazima washinde kwa muonekano wa kawaida namna walivyokuwa wanaiona timu walikuwa wanaipa asilimia hiyo kwamba wako vizuri”>>>>Masau Bwire

“Mimi nimekuwa nikizungumza kupitia kwenye kurasa zangu za mitandao ya kijamii kwamba mimi naona tofauti na watu wanavyofikiria kwa sababu wanapocheza Simba wanapocheza na Yanga mara nyingi matokeo yake mimi huwa naona kama yanakuja na bahati”>>>Masau Bwire

adada

Soma na hizi

Tupia Comments