Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Video: Tazama Polisi wazuia Maandamano nchini Kenya
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Video: Tazama Polisi wazuia Maandamano nchini Kenya
Top Stories

Video: Tazama Polisi wazuia Maandamano nchini Kenya

March 20, 2023
Share
1 Min Read
SHARE
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ameitisha maandamano Nchi nzima dhidi ya Rais William Ruto na Serikali yake ambapo amesema maandamano hayo yanatokana na kupinga kupanda kwa gharama ya maisha na kile anachokiita Urais haramu wa Ruto.

Rais William Ruto amesema haoni sababu ya maandamano hayo na amemshutumu Odinga kwa kuisababishia Nchi kwa ghasia na machafuko.

Waandamanji hao walipanga kukusanyika katika ukumbi wa KICC kisha baadaye waandamane hadi Ikulu lakini Jeshi la Polisi Kenya limezuia maandamano hayo kwa kuwatawanya Waandamanaji kwa mabomu ya machozi, Barabara zinazoelekea Ikulu zimefungwa na baadhi ya Vijana waliofika kuandamana wamekamatwa.

Maandamano haya hayajapanga kufanyika Kenya pekee bali pia Afrika Kusini, Nigeria na Tunisia, pia Chama cha Ruto kimepanga kuandamana kupinga maandamano ya Raila.

You Might Also Like

Moruwasa, wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Edwin TZA March 20, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Next Article Kamati ya Bunge yaitaka Serikali ilipe madeni Taasisi zake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?