AyoTV

VIDEO: Timu ya Kaseja imepigwa 6-1 Niyonzima akamfanyia interview😂😂

on

Leo kwenye mazoezi binafsi ya wachezaji wa Ligi Kuu na marafiki zao golikipa Juma Kaseja katika mazoezi yaliyochezwa ufukweni upande wake ulifungwa na upande wa Haruna Niyonzima kwa magoli 6-1, baada ya mazoezi Niyonzima akaanza kumfanyia interview ya utani.

VIDEO: “NAJUA WANAFANYA HIVYO SABABU YA TIMU YA TAIFA, WAACHWE MWENYE UWEZO ACHEZE”-KASEJA

Soma na hizi

Tupia Comments