Habari za Mastaa

Video: Tory Lanez aanzisha Quarantine Radio kupitia mtandao wa instagram ‘Insta Live’

on

NI Headlines za Mkali kutokea  Toronto, Canada, Tory Lanez  ambae kwa kipindi hiki cha Janga la ugonjwa wa Corona Virus amefanya ubunifu wa kuandaa kipindi chake kiitwacho Quarantine Radio ambacho kinarushwa live kupitia ukurasa wake wa instagram ‘Insta live’.

Na Rekodi zake za watazamaji ni kubwa sana na hapa nimekusongezea video ujionee alivyopata watazamaji Laki 310K  kitendo hicho hakutarajia na kuvunja rekodi ambayo ilikuwa inashikiliwa na msanii wa kike Taylor Swift ambae hapo  awali alikuwa na watazamaji 302k kwenye Live moja.

Itazame hii video hapa ujionee mwanzo mwisho ikumbukwe staa huyo anaifanya hii Segment kila siku kupitia mtandao wa instagram

Soma na hizi

Tupia Comments