AyoTV

VIDEO: Ukarabati wa uwanja wa Azam FC ulipofikia

on

Club ya Azam FC imekamilisha ukarabati wa pitch ya uwanja wao wa Chamazi Complex ambao ulifungwa kwa miezi kadhaa kwa ajili ya ubadilishwa wa nyasi bandia, hali ilivyo kwa sasa baada ya kukamilika kwa ujenzi huo ambao utaanza kutumika rasmi Ligi ikianza tena.

VIDEO: GSM WAWEKA WAZI MGAWANYO WA TSH MILIONI 200 ULIYOMKWAZA MAKAME

Soma na hizi

Tupia Comments