Michezo

VIDEO: Ushauri wa Niyonzima wa Yanga kwa Waziri Mwakyembe

on

Kiungo wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima anayeichezea Yanga SC alifanya mahojiano maalum na AyoTV na kuongea mambo mbalimbali kuhusu soka, Niyonzima pia alitoa ushauri kwa waziri Mwakyembe kuhusiana na uamuzi wa serikali kutaka kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni na kutaka kufikiwa watano katika kila timu ya Ligi Kuu.

VIDEO: BAADA YA LIGUE 1 NA LIGI KUU KENYA KUFUTWA, NIYONZIMA ANAUSHAURI HUU VPL

Soma na hizi

Tupia Comments