Habari za Mastaa

VIDEO: Uwoya alivyomzawadia Hamisa mihela kwenye Birthday dinner yake

on

Usiku wa December 14, 2019 Hamisa Mobetto alifanya sherehe fupi ya chakula cha usiku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kualika baadhi ya mastaa ambao walifika kusherekea naye na baadhi ya mastaa hao ni pamoja na Irene Uwoya ambaye alimtunza fedha na vinginevyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: TUNDA NA WHOZU KWENYE BIRTHDAY DINNER YA HAMISA MOBETTO

Soma na hizi

Tupia Comments