Habari za Mastaa

VIDEO: Mazungumzo ya LIVE ya Wema Sepetu na Roma Mkatoliki

on

Siku ya May 16, 2020 Roma Mkatoliki na Stamina walikuwa wakifanya Instalive na kuwaonganisha baadhi ya watu maarufu kwa lengo la kushare nao kuhusu kampeni yao mpya ya uchangishaji wa shilingi 500 kwa lengo la kununua Mashine za ventilator za kusaidia kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID-19.

Wakati wakiwa LIVE Instagram Roma alifanikiwa kumuunganisha Wema Sepetu na kuzungumza naye haya… Bonyeza PLAY hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments