Habari za Mastaa

VIDEO: Vilio na Simanzi vilivyotawala ulipoingia mwili wa Mchungaji Mitimingi

on

Leo May 6, 2020 imefanyika ibada ya kuaga mwili wa Marehemu mchungaji Dkt. Peter Mitimingi, Ibada iliyofanyika kanisani kwake na kuhudhuriwa na baadhi ya waumini wake na viongozi mbali mbali wa dini.

Bonyeza PLAY kutazama VIDEO mwili wake ulivyowasili  

Soma na hizi

Tupia Comments