Top Stories

Video Viongozi wa Chadema walivyowasili Ikulu, wafanya kikao na Rais Samia

on

NI Mei 20, 2022 ambapo Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walifika Ikulu kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Tupia Comments