Habari za Mastaa

Video vixen Nicole kafunguka wanaomshtumu kutotumia jina lake halisi ‘Tabu’

on

NI Headlines za mrembo Nicole ambae April 14, 2020 ameamua kuongea na kutoa ufafanuzi juu ya watu wanaomshtumu kwanini asitumie jina lake halisi alilopewa na wazazi wake Tabu na kuamua kujiita Nicole, Bonyeza hii video hapa ujionee akitolea ufafanuzi

 

MAJIBU YA UONGOZI WA KING’S MUSIC KUHUSU CHEED NA KILLY KUONDOKA KWENYE LEBO HIYO

Tupia Comments