AyoTV

VIDEO: “Waboreshe mikataba, malezi anayopewa Kipagwile hayawezi kufanana na Chirwa”-Uhuru

on

Jana Baraza la sanaa la Taifa BMT limetangaza rasmi kuanza kuchukua maoni kuhusiana na mapendekezo yaliyotolewa na serikali kuhusiana vilabu vya soka Tanzania kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni wanaosajiliwa.
.
Kwa sasa timu moja Tanzania inaruhusiwa kusajili wachezaji kumi tu wakigeni lakini serikali kupitia waziri mwenye dhamana ya michezo Dr Harison Mwakyembe wamependekeza idadi ipungue na sasa wanapokea maoni ili watangaze rasmi idadi itakuwa ngapi.
.
AyoTV imefanya EXCLUSIVE interview na Juma Kaseja ana maoni gani wapunguzwe au waendelea kubaki, Uhuru Seleman ambaye amewahi kuzichezea Simba SC, FC Lupopo kuwa wageni waachwe lakini wazawa waboreshewe maslahi kama ambavyo wageni wanafanyiwa.

VIDEO: MSUVA KATUONESHA UMAHIRI WA KUCHEZA SKELETUN YA TEKNO

Soma na hizi

Tupia Comments