AyoTV

VIDEO: “Waliopo Lockdown wanajuta” Waziri akikagua kiwanda cha Mask

on

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa leo akiambatana na Mkurugenzi wa shirika la viwango Tanzania (TBS) Dr Yusuph Ngenya na Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa TMDA Akida Khea wametembelea kiwanda cha Pristine Manufacturing Limited ambao ndio wazalishaji wa Mask.

Kiwanda hicho kilichopo Vingunguti jijini Dar es alaam, Waziri Bashungwa ametembelea  kwa ajili ya kukagua uzalishaji wa barakoa (Mask) ambao umekuwa na uhitaji mkubwa kwa sasa na kupanda bei sababu ya mlipuko wa virusi vya corona.

VIDEO: MKE WA HAYATI ABEID KARUME AKIELEZEA KILIVYOTOKEA KIFO MZEE KARUME

Soma na hizi

Tupia Comments