Top Stories

VIDEO: Waziri akesha darajani kupitisha magari usiku ‘Daraja lililosombwa na mafuriko’

on

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Isack Kamwelwe akesha darajani kuhakikisha magari yanapita huko Morogoro  kwenye eneo la daraja lililosombwa na Mafuriko.

Daraja hilo lililopo Wilayani Gairo, katikati ya maeneo ya Magubike na Kiegeya lilibomoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha mawasiliano ya barabara ya Morogoro-Dodoma kukatika.

Soma na hizi

Tupia Comments