AyoTV

VIDEO: Waziri Mwakyembe aishauri TFF iombe pesa kutoka FIFA

on

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe katika mahojiano yake na TBC ameeleza kuwa tayari ameishauri shirikisho la soka Tanzania TFF kuwa liombe pesa kutoka shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA.

Dr Mwakyembe ameshauri hilo hili TFF iweze kupata msaada wa pesa kusaidia kumalizia kuiendesha Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020 ambayo nayo imesimama sababu ya janga la virusi vya corona linaloendelea hivi sasa.

AUDIO: UJERUMANI MKIKUTWA ZAIDI YA WAWILI NA HAMUISHI NYUMBA MOJA, FAINI TSH LAKI 7

Soma na hizi

Tupia Comments