Habari za Mastaa

VIDEO: Wema Sepetu kaileta tamthilia yake mpya

on

Mwigizaji staa wakike Bongo, Wema Sepetu leo July 30, 2020 ameitambulisha tamthilia yake mpya inayoitwa ‘Karma’ ambayo itakuwa ikiruka kwenye Chanel ya TV kila siku ya Jumamosi na Jumapili.

Wema amewaeleza waandishi kuwa hajaonekana kwenye tamthilia nyingi kama ilivyokuwa kwenye filamu sababu ni kutaka kutayarisha ya kwake itakayokuwa nzuri ambayo ndiyo hii aliyoitambulisha leo.

Hata hivyo amesisitiza kuwa baadhi ya kazi zake zilizokuwa zikionekana kwenye Wema App zitaendelea kuonekana huko lakini hizi tamthilia alizoanza kuigiza nazo zitaendelea kuruka kwenye TV kama ambavyo mikataba yake inavyosema.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO

 

Soma na hizi

Tupia Comments