Habari za Mastaa

VIDEO: Wolper kajibu wanaosema kafulia kodi na kwenda Tandika “Nilikuwa sina akili”

on

Mwigizaji Jacqueline Wolper ameyajibu haya baada ya story kudai kuwa amefulia na kushindwa kulipa kodi sababu iliyopelekea yeye kuhamisha ofisi yake ya ushonaji kutoka Kinondoni na kuipeleka Tandika, ambapo Wolper ameeleza sababu za kufanya hivyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza Wolper.

VIDEO: KAJALA KAFUNGUKA ISHU YA KUWA MJAMZITO NA KUDATE NA DJ

Soma na hizi

Tupia Comments