Habari za Mastaa

Video ya Ommy Dimpoz akimkana Mwana FA kisa ugonjwa wa Corona ( Utani)

on

Mwimbaji Ommy Dimpoz amejirecord video inayomuonesha akizungumza na simu akimkana mshikaji wake Mwana FA baada ya kuwa amegundulika na virusi vya Corona.

Ommy Dimpoz ambaye ametaka kuitumia video hiyo kama sehemu ya kutoa elimu kwa watu watakao wakana ndugu au rafiki zao pindi watakapo gundulika na ugonjwa wa Corona.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video

 CORONA: “Nilikuja kujificha Dar nisipate Corona” ( + Video)

 

Soma na hizi

Tupia Comments