AyoTV

VIDEO: Yanga SC mapema washasahau sare sare, ona walivyoungana leo

on

Baada ya mchezo Yanga SC dhidi ya Gwambina FC wa 16 bora wa Kombe la FA kumalizika kwa Yanga SC kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Haruna Niyonzima dakika nyongeza kipindi cha kwanza, huku awali ikionekana mashabiki wa timu hiyo wana hasira na timu yao kupata sare mechi 4 za Ligi, baada ya kuitoa Gwambina mashabiki hao walionekana wameungana kwa pamoja.

VIDEO: “MANARA AWE NA ADABU, MIMI MKUU WA WILAYA AKILETA MDOMO SAA 48 ZINAMUHUSU”-JERRY MURO

Soma na hizi

Tupia Comments