AyoTV

VIDEO: Zahera aipa Ubingwa Simba, aeleza hatma ya Luc Eymael ndani ya Yanga SC

on

Kocha wa zamani wa Yanga SC Mwinyi Zahera ameongea katika exclusive interview na AyoTV na kufunguka mambo mbalimbali ya soka, Zahera ameeleza timu itakayotwa Ligi Kuu ya Tanzania bara kwa msimu wa 2019/2020, huku akieleza kwa kina hatma ya kocha mwenzake Luc Eymael ndani ya Yanga anaionaje?

VIDEO: ZAHERA KAFUNGUKA TUSIOYAJUA, MALI ZAKE, URAIA WAKE

Soma na hizi

Tupia Comments