AyoTV

VIDEO: Zahera kafunguka tusioyajua, utajiri wake, mali na jinsi alivyopata uraia

on

AyoTV imefanikiwa kufanya mahojiano maalum na aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga SC Mwinyi Zahera ambaye ni mfaransa mwenye asili ya Congo DR, Zahera ameeleza storia yake maisha jinsi alivyochukua uraia wa Ufaransa na kuachana na Congo, mali zake, familia na kwa nini ameamua kuwa na mtoto mmoja pekee tofauti na ilivyokuwa kwa marehemu baba yake ambaye alikuwa na watoto 27.

VIDEO: MECKY AGOMA KUMTUPIA ZIGO LA LAWAMA TINOCO KIPIGO CHA 1-0 CHA SIMBA

Soma na hizi

Tupia Comments