AyoTV

VIDEO: Zawadi ya RC Tanga kwa Salim Mtango baada ya Ubingwa wa Dunia

on

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela amemuahidi zawadi ya kiwanja bondia Salim Mtango baada ya ushindi wake wa Ubingwa wa Dunia (UBO) dhidi ya Suriya Tatakhun, Mtango alishinda round ya 7 kwa Technical Knock Out (TKO) katika pambano la round 10.

VIDEO: PAMBANO LA ROUND 10: MTANZANIA VS MTHAILAND NI UBINGWA WA DUNIA

Soma na hizi

Tupia Comments